JE COMPUTER AINA GANI NI NZURI KWA AJILI YA GRAPHICS DESIGN ?
Graphics design ni kazi inayotegemea sana Programu
.Kama una programu mbaya ,siku zote kazi zako zitakuwa mbaya .Tatizo kubwa ni
kwamba Programu zote ambazo ni nzuri kwa graphics design zinahitaji computer
yenye uwezo zaidi
Iwe Dell,Macbook,Hp,Lenovo,Toshiba au Samsung
.Haijarishi tunachokushauri kama unataka kununua COPUTER kwa ajiri ya Graphic
design zingatia yafutayo
1:JUA MAZINGIRA NA ASIRI YA KAZI ZAKO
Kaa nimtu wenye kufanya kazi na watu tofauti
tofauti kama mim,au mtu ambaye ni kambi popote unafanya kazi .Mara umeitwa
huku,ara kule basi wewe DESKTOP Hikufai maana huwezi tembea nyo itakaa tu home
na Ma deal ya Graphics hayawezi kuja nyumbani lazima utoke home.Hivyo Graphics
designer wewe lazima ununua Laptop kwanza.Lakini
Chagua ambayo ni nyepesi ili isikuumize wakati wa
kubeba
2:RAM
RAM inaiwezesha computer kufanya shughuli nyingi
zaidi kwa wakati mmoja,RAM ikizidiwa computer inakuwa slow na baadhi ya Task
zinachukua muda kumalizika ,Hivyo Graphic designer Laptop yenye RAM Kubwa ndiyo
inayokufaa Atleast Uwe na Laptop yenye RAM ya 4GB mabyo ni
expandable(Inaongezeka)
3:GRAPHIC CARD
Graphis card ni muhiu sana kwa maana Kuna wakati
utafanya editing ya visual graphis ambapo Graphic card itakurahisishia ku
render(Eporting) kazi yako kwa urahisi zaidi kama
Unanunua Mashine bassi iwe na atleast Graphics
card ya 512MB kwa sababu laptop zenye Graphics card kuwa mfano za Nvidia
GeForce GTX 780. yenye 3 GB ya VRAM ni ghari sana mfano macbook yenye card hii inauzwa kuanzia USD
900+(Kuaznia 2Million of TSh)
4:PROCESSOR
Hii huipa speed computer huiwezesha computer
imalize kazi kwa haraka zaidi .Wakati mwingine Graphics designer unapewa kazi
na muda ni mdogo uimalize sasa ukiwa na laptop yenye speed ya kinyonga hili ni
tatizo kubwa sana.Nashauri atleast kununua laptop yenye GPU Intel Core i5 au
Core i7
5:SCREEN SIZE NA PICTURE QUALITY
Laptop ambayo ni nzuri kwa graphis design atleast
iwe na screen size ya 14 inch na kuendelea
Pia Iwe ya IPS
Display Ambazo huzalisha muonekano wa HD wenye kuonesha picha katika
ubora wa hali ya juu
Kifupi RAM,Processor,Screen
size & Type,Graphics card ni muhimu kuzingatia wakati unanunua
Laptop
Bei ganI inagharim
ReplyDelete