JINSI YA KUFUTA MUONEKANO WA NYUMA(Background) WA PICHA KWA KUTUMIA PHOTOSHOP
JINSI YA KUFUTA MUONEKANO WA NYUMA(Background) WA
PICHA KWA KUTUMIA PHOTOSHOP
Kufuta muonekano wa nyuma(Background) ni rahisi
zaidi kwa kutumia Adobe Photoshop.
Lakini zoezi hili laweza kuwa gumu endapo
muonekano wa nyuma wa picha ukawa na vitu vingi au kuna vitu vidogo vidogo kaa
nywele ,miti ambavyo katika kufuta huitaji umakini sana
Usijari
Tutakufundisha inu tofauti tofauti na kisha utachagua aayyo kwa ni rahisi
Fuatilia hii video hapa chini ukiwa na swali usisite kuuliza
https://youtu.be/rSmHnTCEN28
https://youtu.be/rSmHnTCEN28
No comments