JE NITUMIE PROGRAMU GANI WAKATI WA KUDESIGN LOGO?
Kama wewe ni graphics designer unayeanza kujifunza ubunifu
wa logo basi kitu cha kwanza kabisa ni kuchagua Programu ambayo utatakiwa
kujifunza ili iwe ndo nguzo yako ya kazi .Zipo program nyingi sana lakini
zifuatazo ni miongoni mwa program bora zaidi.
Wengi wao ambao wameendelea hupenda ku tumia
free hand kuchora kwa njia za analog yaani penseli na karatasi .na kisha kuzi
scan na kuzi weka katika mfumo wakidigitaliOption 1: Adobe Illustrator
Hii ni vector na Illustration programu ambayo ni bora zaidi kwa ubunifu wa logos kuanzia mwanzo (From the scratch).Au unaweza ukaweka mchoro uliouchora katika karatasi na uka trace na kuubadili kuwa logo.
FAIDA ZAKE: Programu
hii ina wigo mpana wa uchaguzi wa rangi,pia ina ruhusu uundaji wa 2D na 3D
.Maumbo ya staili tofauti tofauti
Option 2: CorelDRAW
Mpinzani mkuu wa program ya Adobe illustrator ni hii
CorelDRAW Pia ni mbadala mkubwa kwa wale wasiojua kutumia Adobe Illustrator.Wabunifu
wengi wa logo duniani huitumia hii Kwa sababu ya urahisi wake wakati wa
matumizi.
FAIDA ZAKE:Hii ni
rahisi Zaidi kutumia kwa maana pia hutohitaji mda mrefu unapotengeneza logo
ukilinganisha na Adobe illustrator
HASARA ZAKE:Ina
upungufu wa machaguo mengi ndiyo maana ma designer ambao ni mwa proffesionals
hutumia Programu zinazoundwa na Kampuni ya Adobe.
Option 3: Adobe InDesign
No comments